المدة الزمنية 1:52

MBUNGE CCM AMUWASHIA MOTO JAFO KATIKA UGAWAJI MAJIMBO

بواسطة Fullshangwe tv
136 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2020/04/10

Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini Mh. Ally Kesi ameuwashia moto Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serika;i za Mitaa Mh. Suleiman Jafo kutokana na ugawaji wa majimbo ambao amesema hauko sawa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0