#kukufryrecipe #kukuwakukaanga #Crispyfriedchicken #mapishiyakuku
Habari Zenu!!
Leo Nimewaletea Recipe Ya Kuku Mtamu Sana.
Mahitaji:
-Kuku Kiasi Yako
-Mtindi Au Maziwa Mala kulingana na kiasi ya kuku
-Siki
-Chumvi
-Thomu
-Kijiko 1 ndogo pilipilimanga
-Kijiko 1 ndogo paprika
-1/2 kijiko manjano
-Majani ya rosemary
-Majani ya oregano
-Unga wa ngano kiasi
-Yai 1
-Cornflakes iliyopondwapondwa
Natumai Mumeipenda Mapishi Tamu Kwa Njia Yangu.
Mapishi Zaidi:
KEKI YA TENDE: /watch/kxD3T78ZrRJZ3
BAJIA YA KUKU: /watch/AnvhmT8LQcULh
Subscribe Kwa Channel:
/channel/UCxueimtYZpzTjE5tRPX3fYg/featured
#USISAHAU KILA MTU NI MPISHI.
Music: Youtube Audio Library
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/tamutvtamu
FACEBOOK: https://www.facebook.com/matamu.tamu.77
LIKE , SHARE, SUBSCRIBE