المدة الزمنية 2:6

ADVENTURERS KIMARA SDA- Wakifundishwa na Mwalimu Berinda

بواسطة KimaraSdaTV
957 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2016/07/30

Moja kati ya programu muhimu sana kwenye makambi mtaa wa Kimara 2016 ni mafunzo ya vijana hawa wadogo wa chama cha WAVUMBUZI (Adventurers) ambao walipata kufundishwa na mwalimu Berinda, mwana- adventurer mwenzao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0