المدة الزمنية 5000

Adventurer

185 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2021/05/14

USIKOSE! Ni tarehe 15-04-2021,....Karibu sana katika kanisa la Waadventista Wa Sabato Kirumba, ujionee kile vijana hawa wamekuandalia, Pia kwako wewe uliye Mbali na mahali hapa, Idara ya Mawasiliano inakusogezea ibada hii popote pale ulipo Ulimwenguni kote,. jumuika nasi kupitia mitandao ya kijamii ya YouTube na Facebook #Kirumba sda church# utakuwa umetupata mubashara....Hakika itakuwa ni Sabato ya kupendeza sana na ya kuvutia sana itakayo teka hisia za wengi, USIKOEEEEE.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0