المدة الزمنية 11:24

Kama Matukio Haya Yasingerekodiwa, Hakuna Ambaye Angeamini.

بواسطة YIB
205 704 مشاهدة
0
5.3 K
تم نشره في 2020/03/03

In This Video:          Kuamini jambo inahitaji sana moyo, sio kwasababu ya ubishi bali muda mwingine ukiambiwa kwa mdomo kuwa mamba alitoka kwenye maji na kupaa kama kunguru ni ngumu sana sana kuelewa kauli hiyo haijalishi inatoka kwa nani,   Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Sources : /watch/o44XxzfZtbKZX https://www.pexels.com/video/view-of-a-beautiful-graveyard-1955541/ Check out other videos on the Channel: NINGYO: Nyama Iliyomfanya Binti Aishi Miaka 800.! /watch/ASovffWFxL1Fv Mafuvu 300 Ya Watu Yakutwa Chini Ya Maji, Hakuna Anaejua Nini Kiliwapata.! /watch/4WzGAefe1-9eG KIjana Anaedai Ametokea Mwaka 2075 Atabili Vita Ya 3 Ya Dunia Mwaka 2020.! /watch/EMGjnT3SP77Sj Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.! /watch/ojEiLSljspdji Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: "Hero Down by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution licence (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) BG Music: Magic Forest Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Lost Time Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Darhood Written by: Dijjah Edited & Produced by: Camarah #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 101
  • @
    @daudkally3016منذ 3 سنوات Nakubali broo lete video nyengine nyingi Kama hizi
  • @
    @thomassamwel999منذ 4 سنوات Nimeinjoyi na nawakubali sana Kwa video mnazo tuma mnifanya nieke MB Kwa ajili yenutu
  • @
    @janjaaction9942منذ 4 سنوات mko vizur YIB najuta kwann sijawafaham mda mwing uliopita ila sijachelewa 1
  • @
    @mariyammaria3366منذ 4 سنوات Mmmhyani jana mliileta jana usiku bt mi nikaipuuzia nikidhani niyakutisha lteni zakutisha sikujua 2
  • @
    @budahman2908منذ 4 سنوات Nimenjoy japo clip nyingi nimeshaziona kwenye chanel ya bright side of life 9
  • @
    @allyally1077منذ 4 سنوات Unazingua broo kishaunataka tu subscribe nn 2
  • @
    @pauloserenduki7124منذ 4 سنوات Mi mm nimejiinea majaabu bila kuambiwa its' Really 2
  • @
    @tayanabenard4392منذ 4 سنوات Hizi hazinogi mzee baba.hachana nazo,lete mambo yetu bana 1
  • @
    @eliyadigasson6679منذ 4 سنوات Kuna part wamechukua kwenye movie ya Eliot 4
  • @
    @winstonwalter5326منذ 4 سنوات Kuna kitu hakipo sawa..vipi kuhusu huyo dino waliomfunga kwenye gari ni kweli??? 1
  • @
    @daudimpulumba6742منذ 4 سنوات Acheze tu na hao Simba ila cku watakapo mgeukia ndo atakapo jua 5
  • @
    @queenwinnie256منذ 4 سنوات Yani bibi hapo kwenye mbwa roho yake nyeupe, hata ukiomba doll 10000 anakupaka , wanapenda viumbe kuliko binadamu wenzio, 1
  • @
    @Fm-MornStar2014منذ 4 سنوات Hao simba kuna siku watagundua walikuwa wanacheza na chakula cha jioni.
    Guest what will happen that day.
    4
  • @
    @rahimutwentyseven5435منذ 4 سنوات hao unakuta washaogaga mikojo ya simba
  • @
    @agnesslukumay4348منذ 4 سنوات Hata simba awe amekufa c wezi kumsogelea 14
  • @
    @raxjkhaheshi348منذ 4 سنوات Yaani umezinguw unaweka crp ambavyo zote nisha ziona duh! 3
  • @
    @user-ud9cm5cy8cمنذ 4 سنوات Kazi ipo sas mmbwa ana ruka hewani duuuu macho yangu 1
  • @
    @johnabelly8613منذ 4 سنوات Hamna kitu ap mnataka koment zabure na sucrab zabure 3
  • @
    @ajobangoy6397منذ 4 سنوات Aitish san lakin ila gis unavyo ongey ndo unatufany tuwe nauoga 4
  • @
    @kelvinkedson8359منذ 4 سنوات Kama unaikubali hii channel gonga hapa 3
  • @
    @apostleplukuta1751منذ 4 سنوات Kuhusu huyo mtoto aliambiwa baba yake amefia vitani Afghanistan lakini mwishi wa siku akagundulika Yu hai Ndipo akarudi akakutana na mkewe na kuamua kumfanyia id="hidden2" class="buttons"> mtoto wake Suprais kama hiyo hii ni Tukio la kweli lilitokea na kila tengenezewa movie ....وسعت 6
  • @
    @mgenirasimi7771منذ 4 سنوات Tukio la simba kwangu ni kawaida sana.maana bibi angu anaishi na fisi wengi sana ikifika usku tunawapanda kama farasi na kisafiri nao umbali mrefu id="hidden3" class="buttons"> na hawaleti shida.vipo vingi tu kama paka bundi vyote hivi ni sehem ya vitu tunavyofuga kwahiyo bwana fanya ututembelee uone maajabu ....وسعت
  • @
    @muhammadismail5980منذ 4 سنوات Natoa maoni yangu kwamba
    Ni vzuri mngeendelea kufafanua zaidi kuhusu video hii
    Maana situnaoangalia miongoni mwetu tumeshindwa kuelewa
    Ni sehemu zipi za tukio napia
    Minime shindwa kufahamu kwani
    Kwenye video hii nimeona dainosa kwani si waliisha ulimwenguni. naomba sana ufafanuzi wa video hiii
    .
    ...وسعت
  • @
    @isabelajosiah6359منذ 4 سنوات Hata kama uelew nikipichamaana sstushakua kama wajinga kutazama vtu ambavyo avina maana
  • @
    @apostleplukuta1751منذ 4 سنوات Kuhusu huyo mtoto aliambiwa baba yake amefia vitani Afghanistan lakini mwishi wa siku akagundulika Yu hai Ndipo akarudi akakutana na mkewe na kuamua kumfanyia id="hidden6" class="buttons"> mtoto wake Suprais kama hiyo hii ni Tukio la kweli lilitokea na kila tengenezewa movie ....وسعت 6
  • @
    @mgenirasimi7771منذ 4 سنوات Tukio la simba kwangu ni kawaida sana.maana bibi angu anaishi na fisi wengi sana ikifika usku tunawapanda kama farasi na kisafiri nao umbali mrefu id="hidden7" class="buttons"> na hawaleti shida.vipo vingi tu kama paka bundi vyote hivi ni sehem ya vitu tunavyofuga kwahiyo bwana fanya ututembelee uone maajabu ....وسعت
  • @
    @muhammadismail5980منذ 4 سنوات Natoa maoni yangu kwamba
    Ni vzuri mngeendelea kufafanua zaidi kuhusu video hii
    Maana situnaoangalia miongoni mwetu tumeshindwa kuelewa
    Ni sehemu zipi za tukio napia
    Minime shindwa kufahamu kwani
    Kwenye video hii nimeona dainosa kwani si waliisha ulimwenguni. naomba sana ufafanuzi wa video hiii
    .
    ...وسعت