المدة الزمنية 10:9

VLOG14: MATEMBEZI MADUKA YA MAPAMBO NA UREMBO UJERUMANI (MAISHA YA UGHAIBUNI)

بواسطة Mama Franjo Vlog
3 088 مشاهدة
0
44
تم نشره في 2017/09/01

Welcome back to my channel Inayohusu Maisha ya ughaibuni, nina upload videos kila wiki unaweza ku-SUBSCRIBE ili uwe unapata taariifa ya video mpya. BONYEZA HII LINK /channel/UC77d ... For question, sponsorship , business enquiries , Ukitaka nikutangazie biashara yako au bidhaa yako wasiliana nami kwa Email : franjomulato@gmail.com Instagram Devothaalfred/mamafranjovlogs VLOGMASS ##MAISHAYA UGHAIBUNI ##MAISHAYA WAZUNGU ##LIFE IN DIASPORA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 53
  • @
    @mamafranjovlog72منذ 7 سنوات Asanteni kuangalia UNAWEZA subscribe kwenye chaneli yangu hapa 1
  • @
    @KMVlogsمنذ 7 سنوات nyumba zenu kubwa sana compare to london houses. i like how the content gets better and better every week when it comes to edit. keep it up mama franjo :D 1
  • @
    @lucyjohn7904منذ 5 سنوات Dada kuna maswali ntaka nkuulize personal.. Instagram unatumia Jina gan nikufollow ili nkutafute kidogo 3
  • @
    @omreuzex7109منذ 7 سنوات hongera sana Mama Franjo. safi sana. enjoy life 2
  • @
    @Simply_Angeliqueمنذ 7 سنوات Mama unapendeza sana. The way I love shopping, I could buy everything in those shops. 1
  • @
    @EvelynKlompmakerمنذ 7 سنوات Your glasses and the hat was nice in the shop 1
  • @
    @BillysFamilyمنذ 7 سنوات Hahahaahhahaahhaha nilicheka ulipokuwa unalalamika bei. Ugaibuni shoga maisha. Hilo duka lilikuwa na vitu vizuri kwelikweli.haswa ukiwa na nyumba ya kupamba 1
  • @
    @mwanaharabu82منذ 7 سنوات umenichekesha ulivyosema bei kubwa naona ungekaa na mie tungepatana 1
  • @
    @BillysFamilyمنذ 7 سنوات Wewe macho hayakupiti kwenye hereni shoga kama mimi .ila navaaga ndogo hilo love kava la simu ni rembo kwelikweli 1
  • @
    @gracejoseph8506منذ 7 سنوات jmn mama franjo,hiyo b@ckground song hapo kwa duka ni nzur 1
  • @
    @msaniimpyaBMWمنذ 7 سنوات Ahsante nimekaribia kwa kutizama!! duh yani vile visponji euro 5! 2
  • @
    @BillysFamilyمنذ 7 سنوات Nilikuwa sijui kama watu wanasimama kwenye gari au ni treni 1
  • @
    @BillysFamilyمنذ 7 سنوات Uliamua kutuwekea Spanish song ukijaribu cofia. Umependeza shosti yangu na umejaliwa mabegi 1
  • @
    @natashaplatin5818قبل 11 أشهر Mama franjo nisadie kupata frusa ya kuja uko?? 1
  • @
    @dorisandfarookمنذ 7 سنوات Hata mm n mpenda helen lakin cku hz siwez kuvaa sababu mwanangu anazifuta masikion, duka lina vitu vizur hilo halafu hizo kofia zimekutoa hadi raha 1
  • @
    @tkvlogs3969منذ 7 سنوات Kwa pound 5 ubapata vitano Huku China lol 1