المدة الزمنية 25:31

Kwata la kimyakimya la Wanajeshi wa Tanzania Uhuru Day 2016

بواسطة Millard Ayo
976 770 مشاهدة
0
2.1 K
تم نشره في 2016/12/09

Kikosi cha Kwata la kimya kimya kikionyesha uwezo wake kwenye sherehe za miaka 55 ya uhuru wa Tanzania Bara December 9 2016 Dar es salaam.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 162
  • @
    @bonifacemashauri9032منذ 5 سنوات Am proud of Magufuli for this wonderful motivation in military forces.
    (blood of sarvation)
    2
  • @
    @ndarojuma5128منذ 7 سنوات jaman naipenda hii kazi tafadhali Mungu nisaidie maana ndio naanza process 4
  • @
    @hondenisonmagufulinyabaro3923منذ 7 سنوات Maajabu hayo!!Hongera kwa hao,,,, from KIABUSURA bomakombi O'Nyabaro Mogeni na sipora kerubo tuko pamoja,,, suneka Bonchari kisii county
  • @
    @peterezavoliahona7851منذ 7 سنوات This beautiful haven't seen it before..noce 4
  • @
    @salehelucy3527منذ 8 سنوات aisee hao kiboko maana sio kwahali hiyo kwakweli wapo vizuri sana so nice 4
  • @
    @peterezavoliahona7851منذ 7 سنوات Plz come to Kenya we need u plz talk to our prezo 6
  • @
    @cymoowanjeri6843منذ 4 سنوات The dressing is smart . Slow and quick match perfect.
  • @
    @josephgomalo41منذ 8 سنوات Aiseeeeeeee .. ! Nimeshika adabu nitarudi JKT tena.. Nimekoma kujongo.. this is just great .. thanks JWTZ .. thanks watoto wa nyumbani..!
  • @
    @ramadhaniyange6323منذ 8 سنوات DUUUUUU HONGERA WAPIGANAJI WETU WA JWTZ SALUTE KWAO 2
  • @
    @danielsalimba7281منذ 4 سنوات Huwaga sichoki kuangalia mpaka leo 2020 naangaliaga2
  • @
    @officialfredrickjacobtz2111منذ 7 سنوات Kiwi au a.k.a ballotel, Mungu anakuona maana huzionei huruma mbavu zangu. Kweli unanogesha mambo, nice Sana! Kata upepo 3
  • @
    @jamesmutisya7079منذ 7 سنوات Walai hapa nimekubali, heko kwenu maofisa wa TZ 1
  • @
    @ramadhaniyange6323منذ 8 سنوات JAMANI MIMI NILIKUWA MAJOR WA JESHI KWA HILI HAIJAWAHI KUTOKEA WAMEIVA,WAPO MAKINI, WANAIPENDA KAZI YAO NA WANAWAJIBIKA WANATUMIA AKILI HONGERENI 22
  • @
    @FELIXMBWANJIمنذ 8 سنوات Huyu jamaa ni moto aiseee yaani mara kwa mara namcheki yaani ni hatari sana. big up sana kwa JWTZ
  • @
    @peterremy8013منذ 5 سنوات Kweli hongereni jeshi letu naamini nalindwa
  • @
    @naftalimhemi1208منذ 3 سنوات Kama vile tulipokuwa Tabora Boys Military School 1971
  • @
    @pascalmakomba6495منذ 6 سنوات Profesa Paramaganda Kabudi alifunda bunge
  • @
    @andrewkibesjunior5936منذ 4 سنوات Am from Kenya lakini haya ya kiwi sijayaona
  • @
    @tumwagilegedion694منذ 8 سنوات Haha Kiwi umenipa raha
    Jeshi mko vzr
    4
  • @
    @jeanmubemba1204منذ 5 سنوات HAHAHAHAH ,WATANZANIA WANA VIPAJI SANA AISEE,GOOD WORK GUYZ
  • @
    @mwandiadam5490منذ 6 سنوات hapo kwa uzito wa 45kg hapana bado hamjanishawishi
  • @
    @ibrahimaboker9086منذ 6 سنوات Kila zama na kitabu chake
    Tulipokuwa TPDF 1973 mpaka tunastaafu tulikuwa wakakamavu ndio maana ya kuwa askari.MT7 Daima.
    3
  • @
    @felixokondo6372منذ 6 سنوات Pull up still not accurate marekebisho kidogo two lakini hata ivo hongera 2
  • @
    @mgangakidibwa6972منذ 4 سنوات VP VT by NFC BBS NFCve bunch vdd r vdd bb
  • @
    @MilioneaTvمنذ 5 سنوات Tangaza blog, App, youtube biashara au huduma kwa sh elfu 10 tu mwaka mzima kwenye mtandao wenye watu zaidi ya laki 3 ambao ni Mtandao pekee unaowalipa watu kwa kupost mada mbali mbali. Pia unapata blog kwa sh elfu 19 tu, App sh elfu 25 Youtube chanel sh elfu 10 blog inawekwa matangazo ya kukulipa maishani mwako. Kupata huduma hizo wasiliana whatsapp 0652428852 Karibu sana
    Pia wanahitajika watu wa kurekodi video kwa simu zao wasiliana whatsapp 0652428852 kwa maelezo zaidi
    .
    ...وسعت
  • @
    @johnabelly8613منذ 6 سنوات Sawapihawajaiva kuivakwenu mapaka tuonejeuli Jeulikama yakorea
  • @
    @asilclubمنذ 5 سنوات Mnasadiki mna UHURU ?? Bado mmetawaliwa na Wazungu Mnaishi ujinga tu
  • @
    @abuumaisarah6595قبل 11 أشهر Kiwi ni mtu aisee ananikosha unaa unaaa
  • @
    @alexanderntonge7519منذ 8 سنوات kwakweli kiwi 'balotel' amefunika 8
  • @
    @armanou9042منذ 6 سنوات Njooni Kenya muone silent drill hufanywa