المدة الزمنية 4600

Mabingwa wa mashindano ya magari Sebastien Ogier, Ott Tanak wawasili kwa mbio za Safari Rally

بواسطة Citizen TV Kenya
3 664 مشاهدة
0
11
تم نشره في 2021/06/21

Bingwa mara saba wa dunia katika mbio za magari Sebastian Ogie kutoka Ufaransa amewasili nchini kwa mashindano ya safari rally yatakayong'oa nanga alhamisi wiki hii katika eneo la Naivasha. Ogie ambaye kwa sasa anaongoza msimamo wa dunia baada ya kudhibiti raundi tatu amepata ushindi mjini monte carlo, croatia, na italy. Bingwa wa dunia wa mwaka 2019 ott tanak vile vile yuko nchini.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0