المدة الزمنية 8:18

Taabu za dhahabu: Wachimba dhahabu wapitia changamoto nyingi Kakamega

بواسطة K24TV
30 679 مشاهدة
0
124
تم نشره في 2018/03/19

Watu wengi hupenda mapambo na vipuli vya dhahabu japo ni wachache hujua wanachokipitia wachimba migodi hadi pale dhahabu hiyo ikapatikana. Mwanahabari wetu Dennis Matara, alijikakamua na kuungana na wachimba dhahabu eneo la timbo ya Rostaman, Kakamega na kuingia timboni kukuandalia taarifa ifuatayo ya taabu za dhahabu kutoka Kakamega.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 19