المدة الزمنية 8:1

Tujikumbushe CGI Awafunda Askari wapya wa Idara ya Uhamiaji Tanzania

بواسطة Uhamiaji Tanzania
5 291 مشاهدة
0
37
تم نشره في 2020/01/27

#OnTrending! #UhamiajitzNews Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala aliongea na Askari wapya wa uhamiaji idadi 400 siku 05 kabla ya sherehe za kumaliza mafunzo yao katika chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kilichopo Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es salaaam, Tarehe 12 Disemba 2019.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 18