المدة الزمنية 10:43

EWURA yawahamasisha wananchi kushiriki katika Miradi ya Petrol na Gesi Nchini.

222 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2021/07/03

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea Kuwahamasisha Wananchi kushiriki katika Mradi mkubwa wa Mafuta kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanzania. Ili kuweza kuwa Mshiriki wa Mradi huu wasiliana na EWURA kupitia 0800110030 au tembelea Ofisi zam zilizopo kwenye kila kanda ama tembelea Banda lao kwenye Monesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) 2021

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1