المدة الزمنية 4:23

MBUNGE LEMA BUNGENI LEO HOTUBA YANGU IMEZUIWA'

بواسطة Millard Ayo
54 392 مشاهدة
0
207
تم نشره في 2020/04/23

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 37
  • @
    @jimjam7687منذ 4 سنوات Nime kuelewa vizuri sana Hon.lema uko sahihi japo kwa waliyo penda uchama awawezi juwa umuimu wa kujikinga na janga la korona. 2
  • @
    @joshuaswai653منذ 4 سنوات Wapinza ni hazina kubwa Sana ktk taifa wanaoweza kuwadhrau ni wapumbavu tu ktk ulimwe ngu was leo 3
  • @
    @mrsramadhani2400منذ 4 سنوات Wemama
    Unazngua
    Kaz.kupoteza.muda
    3
  • @
    @jamallysayd3886منذ 4 سنوات Mbona huyu jamaa anapewa dakika chache wakat nimuongeaji points tu 2
  • @
    @obagoabhiathan3565منذ 4 سنوات Ila hawa wabunge wanaotoa taarifa zao uwa ni pumba mbele ya hoja za kujenga 1
  • @
    @hazibonplatformafrica9617منذ 4 سنوات watoa taarifa wengi huwa ni vilaza sana0b- 2
  • @
    @ramadhanisimba3443منذ 4 سنوات Mimi Lema nakukubali sana, ila unaniuzi kugomea na kufumba mdomo acha hiyo tabia, kama tatizo ni muongozo wa chama pigania mgombea huru hata huna chama id="hidden1" class="buttons"> ugombee ss tutakuchagua tu hicho chama ndio tatizo kinawavuruga mnaonekana hamna mana wote, ushauri wangu kwako pigania mgombea huru ama unda chama chako huyo mbowe muachieni chama chake, hata ss anatuyumbisha tunapoonana wapinzani wanasusia bunge ktk kipindi hiki cha janga la corona, Lema ww safi ....وسعت
  • @
    @jamallysayd3886منذ 4 سنوات Weww mama hurud tena hapo bungeni kama KURA unategemea kwetu hebu mwache mtu aongee points 1
  • @
    @thelatestvideos6266منذ 3 سنوات 1 thing i knOw for Sure,,,kumkosa mtu km Lema bungeni ni Hasara kubwa sio tu kwa Wananchi bali kwa Serikali pia
  • @
    @josephlmalima450منذ 4 سنوات Lema aache kimbelembele ,mbona wewe huna barakoa ? 1
  • @
    @martinkarata1097منذ 4 سنوات Watoa taarifa hua wananiboaga sana hawaga chakuongea wanawapotezea muda watu tu
  • @
    @johnsonjoseph509منذ 4 سنوات mbona ime editiwa sana? Hata haieleweki
  • @
    @lubavaclassic7048منذ 4 سنوات Uyuu mama ana uwelewa mfupi kama luku unit za geto la msela. .Kama kuna Raisi atakuja kumpa Dhamana ya Uwaziri nitamshusha samani mbaka Raisi mwenyewe..!!Yani id="hidden2" class="buttons"> Mimi nimemsikiliza lema kwenye simu nimemuelewa lakini yeye anamsikiliza ndani ya mjengo lakini hajaelewa kituu ....وسعت 6
  • @
    @chidybwax8080منذ 4 سنوات Wanakera sasa faida tutaipata wapi wakat baaharia ndo alianz kumwaga mambo
  • @
    @naamohamed9964منذ 4 سنوات Wana pendaga kumuona Lema hayupo sahihi yan Lema anakuaga na bahati mbaya kama makonda hata a kiongea neno la mana wapo wataona upuuz 2
  • @
    @ramadhanisimba3443منذ 4 سنوات Wapinzani wetu hawaonyeshi usiliazi ktk hoja, wao wanachofanya kugomea hoja na kutoka nje na kuondoka ss tuliowachagua tuwafikilie vp! Mm naomba kwenye id="hidden3" class="buttons"> hoja msitoke na msisusie bunge ng'ang,anieni humohumo ss tuliowachagua tutaona Km mmenyanyaswa kwa ajili yetu sio kukimbia Vita, Vita haikimbiwi ....وسعت
  • @
    @ramadhanisimba3443منذ 4 سنوات Mimi Lema nakukubali sana, ila unaniuzi kugomea na kufumba mdomo acha hiyo tabia, kama tatizo ni muongozo wa chama pigania mgombea huru hata huna chama id="hidden4" class="buttons"> ugombee ss tutakuchagua tu hicho chama ndio tatizo kinawavuruga mnaonekana hamna mana wote, ushauri wangu kwako pigania mgombea huru ama unda chama chako huyo mbowe muachieni chama chake, hata ss anatuyumbisha tunapoonana wapinzani wanasusia bunge ktk kipindi hiki cha janga la corona, Lema ww safi ....وسعت
  • @
    @lubavaclassic7048منذ 4 سنوات Uyuu mama ana uwelewa mfupi kama luku unit za geto la msela. .Kama kuna Raisi atakuja kumpa Dhamana ya Uwaziri nitamshusha samani mbaka Raisi mwenyewe..!!Yani id="hidden5" class="buttons"> Mimi nimemsikiliza lema kwenye simu nimemuelewa lakini yeye anamsikiliza ndani ya mjengo lakini hajaelewa kituu ....وسعت 6
  • @
    @ramadhanisimba3443منذ 4 سنوات Wapinzani wetu hawaonyeshi usiliazi ktk hoja, wao wanachofanya kugomea hoja na kutoka nje na kuondoka ss tuliowachagua tuwafikilie vp! Mm naomba kwenye id="hidden6" class="buttons"> hoja msitoke na msisusie bunge ng'ang,anieni humohumo ss tuliowachagua tutaona Km mmenyanyaswa kwa ajili yetu sio kukimbia Vita, Vita haikimbiwi ....وسعت
  • @
    @ramadhanisimba3443منذ 4 سنوات Mimi Lema nakukubali sana, ila unaniuzi kugomea na kufumba mdomo acha hiyo tabia, kama tatizo ni muongozo wa chama pigania mgombea huru hata huna chama id="hidden7" class="buttons"> ugombee ss tutakuchagua tu hicho chama ndio tatizo kinawavuruga mnaonekana hamna mana wote, ushauri wangu kwako pigania mgombea huru ama unda chama chako huyo mbowe muachieni chama chake, hata ss anatuyumbisha tunapoonana wapinzani wanasusia bunge ktk kipindi hiki cha janga la corona, Lema ww safi ....وسعت
  • @
    @lubavaclassic7048منذ 4 سنوات Uyuu mama ana uwelewa mfupi kama luku unit za geto la msela. .Kama kuna Raisi atakuja kumpa Dhamana ya Uwaziri nitamshusha samani mbaka Raisi mwenyewe..!!Yani id="hidden8" class="buttons"> Mimi nimemsikiliza lema kwenye simu nimemuelewa lakini yeye anamsikiliza ndani ya mjengo lakini hajaelewa kituu ....وسعت 6
  • @
    @ramadhanisimba3443منذ 4 سنوات Wapinzani wetu hawaonyeshi usiliazi ktk hoja, wao wanachofanya kugomea hoja na kutoka nje na kuondoka ss tuliowachagua tuwafikilie vp! Mm naomba kwenye id="hidden9" class="buttons"> hoja msitoke na msisusie bunge ng'ang,anieni humohumo ss tuliowachagua tutaona Km mmenyanyaswa kwa ajili yetu sio kukimbia Vita, Vita haikimbiwi ....وسعت