المدة الزمنية 1:36

Samia: Tutakopa fedha kujenga reli ya kisasa

بواسطة Mwananchi Digital
863 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2021/12/28

“Uwekezaji mpaka sasa hivi ni Sh14.7 trilioni tusipoendelea na ujenzi wa reli hii tukakamilisha fedha hizi tulizozilaza pale chini zitakuwa hazina maaana kwa hiyo kwa njia yoyote kwa vyovyote tutakopa tutaangalia njia rahisi njia zitakazotufaa za kukopa." “Kwa sababu fedha hizi hatutazitoa kwenye tozo wala hatutazitoa kwenye kodi tunazokusanya ndani, ni lazima tutakopa kwa hiyo tutakopa ili kukamirisha mradi huu kwa sababu tusipokamilisha fedha tulizoilaza pale ndani itakuwa haina kazi na haina maana kwahiyo ni lazima tumalize huu mradi, tukope tumalize mradi,” amesema Rais Samia Suluhu Hassan leo katika utiaji saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Makutupora hadi Tabora

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3