المدة الزمنية 39:9

UCHAMBUZI: DKT KAYOKA-Vita MAREKANI na IRAN,Trump anaogopa Kuna siri kubwa

بواسطة Dar24 Media
72 841 مشاهدة
0
493
تم نشره في 2020/01/09

Mchambuzi wa siasa za kimataifa, Dkt. Charles Kayoka ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amechambua taharuki ya kivita kati ya Marekani na Iran. Ameeleza chanzo na siri iliyoko nyuma ya taharuki hiyo na uwezekano wa kutokea VITA KUU YA TATU YA DUNIA. Ni kupitia Exclusive ya Dar24 Media. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Trump #Soleimani #Iran #Vita #Dar24Media

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 211