المدة الزمنية 2:18

Jinsi Ya kukuza Nywele Kwa Haraka Na Kuzifanya Kuwa Nyeusi Kwa Kutumia Kitunguu Maji Tuu

بواسطة Mnazi Tv
96 247 مشاهدة
0
431
تم نشره في 2020/01/13

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 43
  • @
    @zuleyfatkihari3650منذ 4 سنوات Pole kwa kuumia kidole na asante kwa kujali maana hukujali umeumia na bado ukatuletea clip 4
  • @
    @zainabukaz5907منذ 2 سنوات Kama sna shampoo ya alovera naweza kutumia shampoo yoyote unawe 3
  • @
    @songorokasisiko5128قبل 8 أشهر Mchanganyiko huu naweza kuchangaya na steaming ya dukani?
  • @
    @fatmajaffar9118منذ 3 سنوات Je ukitengeneza hivyo waeza ku bakisha uka tia na kesho 3
  • @
    @neemakileo3983قبل 9 أشهر Unatumia kia siku mpaka wiki iishena je hupaki mafuta yoyote wakati unaendelea na zoezi hili?
  • @
    @parisspatz1880منذ 2 سنوات Unavyo menya hivyo inatakiwa na mm nifunge plasta kidoleni 1
  • @
    @hussnabakary3507منذ 4 سنوات Vip kama watumia shampoo tofaut na co a lover
  • @
    @giftsirya2663منذ 2 سنوات Km huna sabuni ya maji unaeza tumia ya kipande
  • @
    @kikie_chynaمنذ 4 سنوات Sasa hayo ni matone machache ya mafuta? 3
  • @
    @fatmajaffar9118منذ 3 سنوات Kama huna shampoo waeza kuosha na sabuni ya maji 4
  • @
    @al.nufaisykhamisi2498منذ 2 سنوات mm naulizia hiyo dawa uliweka kwa kijiko jee ni kahawa hiyo or ni dawa gani mana sijaielewa hiyo dawa ya unga niambie
  • @
    @bintrashid6967منذ 3 سنوات Je kama sina mafuta ya nazi naweza tumia ya zaitun
  • @
    @hellenashely2167منذ 4 سنوات Sorry Hiyo kitu nyeusi ni nini ? Hukuandika 2
  • @
    @maurinesimiyu9115منذ 4 سنوات Nakama sina mafuta ya Nazi nitafanya aje 1
  • @
    @rahmandegeulaya3927منذ 3 سنوات Kwa iyo mgululizo lila ck at mara ngap kwa wik
  • @
    @msport3719منذ 4 سنوات Kaka nicheck no. Hii WhatsApp 0674889037 kuna jambo tuzungumze
  • @
    @tinabrown4949منذ 3 سنوات Wiki moja mfululizo ama Kila baada ya wiki? 3