المدة الزمنية 41:27

UNITALENTSHOW | MAIN SHOW | SEASON 03 | GROUP B PART 2

بواسطة UnitalentShow
14 954 مشاهدة
0
200
تم نشره في 2022/01/05

Ni msimu wa Tatu wa Mashindano haya yanayowakutanisha wanavyuo mbalimbali Tanzania wakitokea Mikoa Mitatu ambayo ni Mwanza,Dodoma na Dar es Salaam. Mashindano haya yanaratibiwa na Maroon Entertainment na kuruka hewani kupitia Clouds TV. Endelea kupata Burudani kupitia Vipaji Vya Wasomi hapa nchini #unitalentshowseason03 #kipajichakiwandachako #talentsearch PRODUCTION:MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 16