@susankitila8684منذ 3 سنواتWaziri mkuu ana hekima sana. Na Mungu akubariki sana. Mh Majaliwa kweli wewe ulikua pamoja na Rais Magufuli. Ubarikiwe 1
@
@stevenmabungi3245منذ 3 سنواتNamkubali sana waziri mkuu Ndugai hatufai sisi maana ni kinyongo huyu na mtu wa namna hii muogopeni sana. 2
@
@nadhiriahmadi3120منذ 3 سنواتHafai kuwa spika wa bunge Ni mnafiki mkubwa kipindi cha hayati magufuli alikuwa wapi 7
@
@munakkwangaya5636منذ 3 سنواتHongera Waziri mkuu huko pamoja sana na wananchi wako balakoa tupa Kuleee hazina nafasi Tanzania yetu tupo salama m/mungu anatusimamia vyema 3
@
@valenakomba4453منذ 3 سنواتSasa je, Acha umbea. Hata mzazi huwa wanasema mimi ndo Rais wa nyumba hii, kwani hapo kuna ubaya gani? Acheni majungu jamani msiwazibie watu riziki zao. id="hidden1" class="buttons"> Vibaya kama angesema yeye ni Mungu wa mkoa. Lakini kama a nasema yeye ni rais wa mkoa Ana haki ya kusema hayo. Kibinadamu wewe tu ndo umewaelewa vibaya. ....وسعت6
@
@tundamasaga9530منذ 3 سنواتSio kweli kwenye utendaji ni lazima ujivishe majukumu yote usimuachie mtu ukipatia au kukosea lawama au sifa ziwe zako ndugai acha fitina Mkumbuke na sisi tunaakili. 2
@
@marcoboniphace8108منذ 3 سنواتNIKIKUMBUKA MANENO YA BABA YETU ALISEMA MTAKUJA KUNIKUMBUKA KWA MAZURI SIYO KWA MABAYA. KWELI TAANZA KUYAONA. 5
@
@ludoviclimo4153منذ 3 سنواتMama tunakuku Bali sana.ila tunakuomba barakoa zannje ya nchi zisija hapa nchini. Mitumba ifungiwe isije. Kingjne kikwete asiwe muongeaji sana.kwakua elimu alioileta yeye Leo anaiponda.atumjui kwasasa. 4
@
@pontianrweyongeza6240منذ 3 سنواتNinashukuru mungu kuona taifa retu rinaenderea vizuri,
@
@mariambilonkwa5183منذ 3 سنواتMama Sa 100 ndungai ni nyoka wa ndumi la kuwili muogope kama ukoma. 2
@
@johannesrwizaمنذ 3 سنواتHatimae IKULU imerudi Dar Es Salaam. RIP MAGUFULI 3
@
@maxlattinokiki8105منذ 3 سنواتM h: Samia, Huyu Ndungai nayeye ungeli muangalia tungeli mbadilisha maana huu uongozi una mpa batara!!kila siku yeye tu!khaah!! 3
@
@sudymgeni701منذ 3 سنواتYani ndugai mungu anakuona.baba angekuwepo ungeongea kweli
@
@pitargamba9208منذ 3 سنواتMwandishi acha ushoga nani hajui Makonda mazuri yaliyoyafanya tangia akiwa DC hadi RC alipambana na madawa ya kulevya nk. Hadi uchumi ukapanda daa 10
@
@abdulkilala9845منذ 3 سنواتLinafiki tuuuuuu spika Gan msaliti nyau tuuuuu ww
@
@susankitila8684منذ 3 سنواتHalafu mna ROHO. MBAYA SANA NYIE. kumuondoa. Makonda katika nafasi zooote. Kijana alikua anaweza uongozi au udn. Nini
@
@yagwishaheke2524منذ 3 سنواتNdugai kama mama tu huna unachomzidi makonda kazi 7
@
@vbnmmnbv5292منذ 3 سنواتHamna wa kumfananisha na Makonda japo sasahivi anaonekana hana maana ila Dar tulishazoea amshaamsha za Makonda mis ur Makonda 13
@
@hamisikadege5867منذ 3 سنواتUmenifurahisha unavoanza kuanza kwa salamu ya Mungu maana hii awamu imehama kabisa kwa Mungu. Naona tunasalimiana kwa Nina la nchi
@
@masanjamasaga3758منذ 3 سنواتMakonda alikuwa vzr sana ww unamchafua Bure mtu Wawa watu 3
@
@jeffkonki8279منذ 3 سنواتOgopa sana serikali ambayo kilaanaeongea anapigiwa makofi
@
@manenoyusuph4907منذ 3 سنواتacheni unafiki huyo aliejivika joho la raisi kwani nchi ilikuwa haina kiongozi na akamtumbuwa mbona kama unazungumzia uongozi mnaoudhalilisha kwa uuma
@
@stevenmabungi3245منذ 3 سنواتMkuu wa mkoa ndiyo smirk jeshi mkuu katika Eneo husika Ndugai acha majungu wewe na msipende kujipendekeza ni dhambi kubwa kwa Mungu.
@
@masanjamasaga3758منذ 3 سنواتMakonda alikuwa mchapa kz kafanya kz kwelikweli ktk mkoa wa dar 6
@
@azizabdallah585منذ 3 سنواتMh. Ndungai.hapana.hapana. hapana.kila mtu muhusika abebe msalaba wake.siyo Mkurugenzi kaharibu kazi eti Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya class="buttons"> wote wawajibishwe! Hivi hapo Bungeni kama Katibu wa Bunge kaharibu kazi.je ni haki wewe Spika na Naibu Spika muwajibishwe ....وسعت
@
@emilykassiano6173منذ 3 سنواتMajaliwa anapoongea unaona kabisa anamaanisha Mungu mlinde waziri mkuuu wetu. Na ukipenda mbeleni apate cheo kikubwa zaidi.
@
@mary.matullu8279منذ 3 سنواتMsizoee masks za nje Zina funza tumia microscope utaona msioene vyanje watu wa huku hawawataki mema. Sijui muabiwe mara ngapi. 4
@
@issanmedia4654منذ 3 سنواتTumain lang ni kwa majaliwa , hakika ww cio mnafiki nakupenda barakoa kwetyu cio tiba ,ni lulu pekee iliobakia ,hatuwez jua sana lakin hakuna namna hyo id="hidden6" class="buttons"> nafac ulionayo ni nzuri lakin haitosh kututumikia sisi watanzania naona wavaa barakoa wako tofaut na mawazo yetyy ....وسعت
@
@paulmasansi1815منذ 3 سنواتAnawatetea wakurugenzi kwakuwa Mke wake ni Mkurugenzi Wilaya ya BAHI
@
@nassoromsangi1323منذ 3 سنواتMh!Ndugai mbona umedharau Salamu Mama aliyoianzisha kusalimia kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
@
@maishayamtaani2831منذ 3 سنواتMbona wewe ujawajibika ulimtukana makam wa rais kuwa akumshauri rais vizuri je ulijiuzuri 1
@
@mawazokasembe8498منذ 3 سنواتKila akilaumiwa makonda kunawengine wanasema alifanya kazi vizuri sana eti alidhibiti madawa ya kulevya! Hivi ndo jambo la muhimu alilotumwa akalifanye id="hidden7" class="buttons"> hilo? Mbona hamuongelei makontena waliyobaini kwamba niyake!? Acheni ujinga bwana na kama alifanya mazuri tu angeendelea kuwa madarakani. ....وسعت4
@
@bakarimngazija6672منذ 3 سنواتNdungai huna jipya wewe mwenyewe huwajibiki bunge umelivuruga na kila mtu anajuwa Ndungai unajipendekeza lakini siku yako inakaribia na inakuja na majuto makubwa!! 1
@
@lennykiganga4763منذ 3 سنواتHivi hii nchi inarais kweli na kama yupo ni nan mbon sijaona rais wng akijakusikiliza kero kutwa nasia kunampokeaj wa wagen ikl but whatever the case nirud id="hidden9" class="buttons"> kweny point ya msingi rais anawakilishwa na mkuu wa mkoa akiwa hayupo ndo maana makonda akajiita rais sasa kwan ndungui ilikuwasxh nn ....وسعت
@
@stevenmsaaada.msaada.389منذ 3 سنواتWejamaa mbona unamajungu kama limwanamke ivo? 1
@
@magrethmallya7728منذ 3 سنواتBora Makon da kuliko wewe ndugaya kwani wewe kazi yako ninini? Hatukuelewi kabisa yani. Makonda babalao. 2
@
@annakisiga889منذ 3 سنواتWewe ndugai huwez kujifananisha na makonda send kuwa aliwazibia nafas zenu za uuzaji madawa ya kulevy pimbi wewe jimbon kwako hata umeme hauna
@
@francokamugisa296منذ 3 سنواتNchi hii ukisaidia wananchi unawaudhi wakubwa ukila na wakubwa unalaumiwa na wananchi,hapo chagua moja ule na wakubwa uwe salama au usaidie wananchi ufe 1
@
@JK-uq1tvمنذ 3 سنواتIla hiz barakoa Kuna viongozi hawajazoea wamefunika mdomo tu pua wameacha
@
@florakweyunga4490منذ 3 سنواتNani kama Makonda.Makonda amepambana,leo hii wewe unasema hivyo.walio mchukia Makonda niwale walio kuwa wanauza madawa ya kulevya.Tunamkumbuka saana Makonda.usilete chuki binafsi. 2
@
@saidalsalmi9313منذ 3 سنواتUko sawa mheshimiwa Ndugai ujipe ukubwa ambao huna.
@
@lemsanyajoel8360منذ 3 سنواتMweshimiwa Ndungai apo umesema ukweli.hao wanaokupigwa wanafiki zao na jao wanaowapigia debe
@
@brightmackmwaky7968منذ 3 سنواتMimi nawaomba wstanzania muwajue mafisi huyu ndugai ni ndumila kuwili nahisi ni asili ya ukwao umatonya. Hebu muangalieni anavyo jipendekeza kwa kuwapiga id="hidden12" class="buttons"> mawe watenda kazi wa kweli. Nina I asie jua kazi ya Makonda? Huyu yupo na kundi lile lililo muondoa JPM .tuwe makini nao hao ....وسعت
@
@jamesndondole9483منذ 3 سنواتMsituchanganye na mabarakoa mnataka kutuua kwa hofuu!!!!?????
@
@audaceleroi1370منذ 3 سنواتhivi watanzania hamuoni kama inchi imeshauzwa? Maana wale wote waliokuwa wanamuunga mkono jpm, sasa hivi wanapinga mambo yake! Ao ni mimi ndiye nisiyeona vizuri? 3
@
@ropaultv5610منذ 3 سنواتHii nchi kwa sasa haina Rais, Haito kuja kutokea tena Tanzania ikawa na Rais mwanamke labda baada ya miaka 1000 kupita, Sioni Nuru katika id="hidden14" class="buttons"> nchi yangu kwa sasa, Leo tutasikia umeme kesho makubwa kuliko yanakuja. TUTAELEWANA TU. ....وسعت2
@
@diamondgeyser7987منذ 3 سنواتAcha ujinga ndugai, wakuu wa mikoa na wilaya ni wawakilishi wa raisi katika maeneo yao, haimaanishi kwamba wao ni Raisi. Ila ndungai unajipendekeza sana kwa Huyo mama mpaka inachefua.
@
@fauzhaji7149منذ 3 سنواتInapendeza kuona sasa musk zinavaliwa katika ngazi zajuu ..hopefully tutaona bungeni na sehemu nyingine nyingi na wananchi kwa ujumla.hapa sasa unaweza id="hidden16" class="buttons"> kusema mungu ibaribiki tanzania na uwalinde VIONGOZI na wananchi wake kwa ujumla .why I say this .because mungu anasema Jilinde nikulinde you cannot not taking precautions alafu uombe ulilindwe first take precautions then muombe mungu akulinde .very simple ....وسعت
@
@ziadaomeri6058منذ 3 سنواتMakonda alifanya kazi acha kumchafuwa kabisa 7
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Ndugai Amkumbuka Makonda Mbele ya Samia Huyu Alijiita yeye ni Raisi wa mkoa msijidanganye kama yeye:
hapana.kila mtu muhusika abebe msalaba wake.siyo Mkurugenzi kaharibu kazi eti Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya class="buttons"> wote wawajibishwe! Hivi hapo Bungeni kama Katibu wa Bunge kaharibu kazi.je ni haki wewe Spika na Naibu Spika muwajibishwe ....وسعت
Maana wale wote waliokuwa wanamuunga mkono jpm, sasa hivi wanapinga mambo yake!
Ao ni mimi ndiye nisiyeona vizuri? 3
Haito kuja kutokea tena Tanzania ikawa na Rais mwanamke labda baada ya miaka 1000 kupita,
Sioni Nuru katika id="hidden14" class="buttons"> nchi yangu kwa sasa,
Leo tutasikia umeme kesho makubwa kuliko yanakuja. TUTAELEWANA TU. ....وسعت 2