المدة الزمنية 7:42

Kiasi wanacholipa YouTube kwa kila view

بواسطة Richstar
7 908 مشاهدة
0
297
تم نشره في 2021/12/29

Katika video hii nimeelezea na kujibu swali la Kiasi wanalipa YouTube kwa kila view moja ama mia au hata 1000. Naamini mpo wengi mliotamani kufahamu hili swala ambalo nimelielezea kwa undani zaidi. Usisahau ku subscribe video hii baada ya kuitazama ili usipitwe na tutorials zijazo. FOLLOW ME: Instagram: https://instagram.com/richstartz Twitter: https://twitter.com/richstartz Facebook: https://facebook.com/richstatz Email: rmaguluko@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 103