المدة الزمنية 6:21

Wateule waliokaidi kauli ya Rais Magufuli wajutia uamuzi wao.-Mchambuzi.

بواسطة Focus News Tanzania
113 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2020/07/23

#CCM #Tanzania#Kura za Maoni. Chama Tawala nchini Tanzania CCM wiki hii kimeendesha kura ya maoni katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi, kupata wawakilishi ambao watapeperusha Bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika Agost 28 Mwaka huu. Wanachama wa chama hicho na watanzania kwa ujumla wameshuhudia mpambano mkali wa kura ya maoni kupata wawakilishi chama hicho ambao haujawahi kushuhudiwa katika historia ya siasa za ushindani nchini Tanzania.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0