Mwanariadha Mansoor Hussein (45) Mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji anayekimbia kwa miguu kutoka Kigoma kwenda Dar Es Salaam zaidi ya kilomita 1200 kwaajili ya kushuhudia mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga Mei 08 amefika mkoani Tabora baada ya kutumia siku sita kuanzia April 15.
Mwanariadha huyo aliyewahi kukimbia kutoka Kigoma kwenda Kasulu (KM 95) kwa miaka mitano, na baadaye akakimbia kutoka Kigoma hadi Tabora (zaidi ya KM 400 ) na anategemea kufika Dar Es Salaam Mei 02,2021.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 172
مقاطع الفيديو ذات الصلة على SHABIKI WA YANGA ANAYEKIMBIA KUTOKA KIGOMA HADI DAR, KM 1200 AMEFIKA TABORA “NILIIKATAA CHAI: