MAKAMU Mwenyekiti wa chama cha wauzaji na wanunuzi wa madini nchini,(TAMIDA), Thomas Munisi ameipongeza serikali kwa hatua yake ya kujenga ukuta katika machimbo ya madini ya Tanzanite Mererani kwa lengo la kudhibiti utoroshwaji wa madini hayo
Aidha amesema TAMIDA kinaunga mkono hatua ya serikali kuzuia usafirishaji wa Madini yakiwa hayajakawtwa(RAFU)
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA MADINI YA TANZANITE WATOA UJUMBE MZITO KWA SERIKALI: