المدة الزمنية 1:18

TUWAKUMBUKE MAYATIMA

بواسطة Bayaan TV TZ 1
103 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2020/05/14

Asalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatuh Ni wakati wa kujiongezea uzito wa mizani yetu ya kheri kwa kuwakumbuka mayatima na kurejesha furaha yao ktk siku ya eid Ungana na kituo chako cha Albayaan dua centre kwa kuwachangia mayatima wapate chakula ktk siku ya eid Tuma mchango wako ktk 0653732303 Usisahau kusubscribe kulike kucomment na kushare post zetu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0