المدة الزمنية 6:14

JOHN NZIKU FT SIFAEL MWABUKA ==FANYA JAMBO WAJUE (official audio)

بواسطة John Nziku
1 956 مشاهدة
0
25
تم نشره في 2021/08/01

#johnnjiku#sifael-mwabuka#fanya-jambo-wajue Shaloom shaloom Ni kwa neema nyingine tena nimekusogezea nyimbo nyingine inaitwa #fanya-jambo-wajue nikiwa nimeshilikiana na MTUMISHI SIFAEL MWABUKA,na producer alietengeneza pia ni AYUBU,na studio AYUBU RECOD r .Ninayo matumaini makubwa ya kwamba katikati ya shida zako ukiyakumbumba matendo mkuu aliyoyafanya Mungu kwenye ulimwengu huu itakusaidia kumukumbuka yeye wakati wote kwenye mapito yako .Iko safari kwa yeye aaminiye kuwa Mungu anaweza kufanya jambo kwenye maisha yake na maadui wakashaangaa. Booking 0684751951,225684751951

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 49