المدة الزمنية 8:51

MAAJABU: Dini ya Beyonce Yatikisa Dunia- BEYISM

بواسطة Global TV Online
171 895 مشاهدة
0
487
تم نشره في 2018/05/26

MAAJABU: Dini ya Beyonce Yatikisa Dunia- BEYISM MWAKA 1990 akiwa na umri wa miaka tisa, msanii wa Muziki wa R&B alijiunga kwa mara ya kwanza katika shule ya awali ya Parker Elementary huko Houston, Marekani. Akiwa shuleni hapo ambapo pia hufundisha muziki, Beyonce alikuwa mmoja wa waimba kwaya wazuri. Miaka minne mbele, Beyonce aliteuliwa kuwa kiongozi wa kwaya katika kanisa waliokuwa wakisali wazazi wake la St John’s United Methodist. Kuonesha kuwa muziki upo kwenye damu, katika kipindi hicho Beyonce alikutana na rafiki yake, LaTavia Roberson na kuamua kutengeneza kikundi cha wasichana cha kuimba na kucheza dansi kiitwacho Girl’s Tyme, hapo ndipo kukaibuka wasanii sita akiwemo Kelly Rowland. Bada ya kupitia matamasha mengi, Girl’s Tyme waliamua kubadili jina la kundi na kujiita Destiny’s Child ambapo walibakiwa na wasanii watatu ambao ni Beyoncé Knowles, Kelly Rowland na Michelle Williams. Ukiachilia mbali historia hiyo fupi ambayo baadaye kundi hilo lilikuja kugawanyika kila mmoja akifanya maisha yake. Kwa muda sasa Beyonce amefanikiwa kuiteka dunia katika burudani kupitia nyimbo zake, tangu alipoibuka na albamu yake ya kwanza ya Dangerously in Love (2003). Maisha yanakwenda kasi sana! Beyonce ambaye kwa sasa ni mama wa watoto watatu aliozaa na Rapa Shawn Carter ‘Jay Z’ amekumbuka alipotoka, alipokuwa akiishi maisha ya kiroho, alipokuwa akiimba kwaya hadi kuwa kiongozi. Amekuja kwa mgongo mwingine wa kuanzisha dini yake iitwayo Beyism. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 377
  • @
    @dorinadorina1846منذ 6 سنوات I love my GOD may almighty God forgive them Amen 3
  • @
    @aronijuma1913منذ 6 سنوات MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU
    HIVO VINAITWA VIBURI VYA UZIMA
    UKIWA NA AFYA TELE HUWEZI JUA KAMA MUNGU YUPO U CAN DO ANYTHING AS YOUR HEART DESIRE id="hidden1" class="buttons"> BUT IPO SIKU MWILI UTAKAPOSHAMBULIWA NA MASUMBUFU YA DUNIA NDIPO ATASEMA THERE IS ONLY ONE 'GOD"
    WAMEPITA WANGAPI KAMA YEYE LEO HII WAKO WAPI? WENYE KASHFA NA DHIHAKA JUU YA MUNGU WAKO WAPI?
    WANATAKA KUTUPOTOSHA TU KWA AJILI YA BENEFITI ZAO ZA KIDUNIA KWA KUFANYISHWA VITU AMBAVYO HATA WAO HAWAVITAKI . ILA MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU.
    ....وسعت 52
  • @
    @richardmiti2016منذ 6 سنوات kama nawe umekwazika na hili, acha like yako hapa ili tuende sawa 136
  • @
    @fathiasaed4738منذ 6 سنوات Mungu atuepushe Tanzania yetu mungu aiongoze njia ya haki nchiyetu 2
  • @
    @nancyclerah1340منذ 6 سنوات Yesu kristo ndiye wakuabudiwa.kwa maisha yangu yote katu sitamwabudu mwanadamu. 1
  • @
    @amosichacha5675منذ 6 سنوات Shetani akitaka kuzifanya kazi zake huwatumia watu, halikadhalika Mungu pia vivyohivyo. Waganga wa kienyeji, washirikina, mizimu, wasoma nyota nk. Hawa id="hidden2" class="buttons"> wanamuakilisha shetani na kazi zake hapa duniani. Manabii, mitume, wachungaji, walimu, wainjilist nk. Hawa humwakilisha Mungu na kazi zake hapa duniani. Dada huyu mwenyewe kwa hiari yake ameamua kuikataa mbingu, amekuwa wakala wa shetani. Siku yaja ambapo atakutana na mwenyewe mbingu yake. Ndipo atakapolia na kusaga meno, shetani hana ya mbingu ya kuwapeleka watu! ....وسعت 14
  • @
    @rukiahassan9959منذ 6 سنوات innalillahi waina illahi rajiun..maskini wenzangu tumuombe mola akitupa mali bc atupe zenye kheir na sisi 54
  • @
    @jantawakitaa3050منذ 6 سنوات dunia ina mambo Hii, aandae majibu kwa Allah (S. W)
    dunia inatupotosha Sana na shetani ananguvu Sana mungu tuepushie adhabu yako
    57
  • @
    @winfridagodson6514منذ 5 سنوات papa ni kiongozi tu msimamiz wa kanisa haabudiwi wala kusujudiwa na MTU ila Beyonce anajiita ni mungu na wat wanaanguka kumsujudu 2
  • @
    @rahmahussein4019منذ 6 سنوات Dah !.tutayaona mengi mwaka huu
    baada ya manabii wa uwongo.sasa
    wanaanza kujitokeza.waungu wa
    uwongo na makanisa yao..ama kweli
    pesa si mwenzio.dunia ya mwisho
    hii wallahi .
    4
  • @
    @janetsimiyu7392منذ 6 سنوات Kwa kweli dunia imeisha wenye tunaamini Mungu yuko naomba tumtafute kwa nguvu maana shetani ameinuka tena kwa kazi sana
  • @
    @zoniloverosward2114منذ 6 سنوات Eeh MUNGU wangu nionyeshe njia salama na uniepushe na njia za dunia.
    Mora wetu tusamehe,,
    1
  • @
    @fatinetto641منذ 6 سنوات Najuta kuzaliwa mklisto na namuomba mungu anijalie umaut usinikute nikiwa bado mklisto amina
  • @
    @godwinayo5133منذ 6 سنوات msifadhaike miyoyoni mwenu mnamwamini MUNGU niaminini na Mimi (YESU KRISTO) 20
  • @
    @ellynassari9066منذ 6 سنوات Mungu tuongoze, ninakemea izo vitabu zisifike Africa in Jesus Name na iyo dini,sijui wataenda kujibu nn siku ya mwisho
  • @
    @awadhirajabu7754منذ 6 سنوات Nabii ajitengenezi nabii akija duniani kila mja atajua tu mana yatatokea mambo ya kushangaza awa wanaojiita manabii ni waongo ila wao wameisoma sana dini id="hidden4" class="buttons"> na ukiwa ivo mungu ukupa balaka rakini so unabii nabii akija kila mtu atajua tu ....وسعت
  • @
    @enockyohana6856منذ 6 سنوات Nliwahi kusema.. Beyonce ni lusifa alie jiziirish kwa mwili uwo. Jay-Z nishetan kabsa. Jmn tumrudie Mungu tumuomb Sana'a.. Yaan mtu anafikia hatua ya kujiita mungu dah.. Tumefik pabaya 6
  • @
    @user-vv1te9fu8qقبل 5 أشهر Sasa na hao watoto waliowazaa wote watafata hilo dini lao sub,hanallah m,mungu tuepushe sisi na vizazi vyetu
  • @
    @dullahdreams6822منذ 6 سنوات Dah namskuru sna Allah kuniongoza katika uislam
  • @
    @fatmakombo7584منذ 4 سنوات Subuhana allah mungu akituletea mitihani duniani tunasikitika huyu mungu mtu Beyoncé mungu atakuja kumtia mkononi ajute maisha yake yote
  • @
    @haesang2949منذ 5 سنوات Ila haya yote ni matunda ya kanisa Jinsi ilivyo wapoteza wengi katika umma 2
  • @
    @fetymwamba8685منذ 6 سنوات Mh!subhana llah mungu tusa mehe viumbe vyako wote sisi niwakosaji yarabi
  • @
    @mussahamisi1191منذ 6 سنوات Innalillah wainnalillah rajiuni
    Wallah kiburi hicho akiandalie majibu ya kutosha mbele ya ALLAH
  • @
    @baragatimaingu5623منذ 6 سنوات Ukiwa na pesa na ukaanzisha dini na kusema ww n mungu watakuamin, Allah nipe mwisho mwema
  • @
    @erneusngonyani9217منذ 5 سنوات Mungu njoo ubebe dunia yako binadamu wamekua watumishi wa shetani ikiwa wanaishi ndani ya dunia yako plz dr God come to take ur world.tuone awa mashetani watu wataishia wapi raaana awaaah.
  • @
    @sarahogama9540منذ 4 سنوات Kweli ndio nmeamini shetani hufata walio wa Mungu ili awaaribu na kuwapotosha.nakemea ushetani huu wa makanisani kwa jina la Yesu
  • @
    @catherinechristopher1672منذ 6 سنوات Mungu wetu mpole jamni atusamehe tuu dunia imeisha
  • @
    @salimmwaim7789منذ 6 سنوات laana ya M'mungu iwafikie wote wanaofuata din tofaut na ya M'mungu
  • @
    @sylvestermhojaaron9659منذ 4 سنوات Wataruka sana, itabaki vilele kuwa YESU NI MUNGU NA BWANA WA MABWANA, beyce na wanaomfuta jehanamu ya moto inawasubilia kwa hamu sana,
  • @
    @nancyclerah1340منذ 6 سنوات Mungu tuepushe na uovu wa nyakati hizi pamoja na uongo.
  • @
    @kadejahoe6543منذ 6 سنوات Subhannallah jamaniii dunia imeishaa daaah tumuogopenii mungu
  • @
    @veronicmagnus9662منذ 5 سنوات Mungu atusaidi kwan ni sku za mwisho Na matukio ndo aya yariyotabiliwa
  • @
    @nandyndayance5678منذ 6 سنوات Eeh Mungu wangu jaman dah yesu alisema lakn sasa tumuombe sana Mungu atusaidie maan hali inayoendelea dunian yanatisha
  • @
    @user-vv1te9fu8qقبل 5 أشهر Mfalme zumaridi wa marekani laana ya m,mungu imfikie ibilisi huyu afiriti minal,jinni
  • @
    @agneskabira4388منذ 6 سنوات Mungu wangu come and save as kweli dunia ina mambo never I will never ever abudu mwanadamu Kama mm 3
  • @
    @mwaisa4769منذ 6 سنوات namwamini mungu baba muumba wa mbingu na nchi baba wa yesu kristo
  • @
    @fortunatasilipigni1632منذ 6 سنوات karibu wasafi watafunguo kanisa lao pia 1
  • @
    @nancyochieng4780منذ 5 سنوات Dunia imeisha na Yesu yuaja hivi karibuni kwa hivyo tewe macho
  • @
    @claraluoga3588منذ 6 سنوات kweli Mungu sio mwanadamu ningewafunika kwa ardhi dhambi zingine zinachefua
  • @
    @jacquecharles9282منذ 6 سنوات duh kwer unajilinganisha na mungu ,,,,, ngoja ufe utasimulia yatayokukuta
  • @
    @abwemtambala2294منذ 6 سنوات Dunia imekwisha tuhombe Mungu kwa bidii sana
  • @
    @salimmohd8279منذ 6 سنوات Shetani ni waaaajabu sana anaingia ndani yaeanamke
  • @
    @peterchristopher958منذ 6 سنوات Unamdiss ila bado nyimbo zake unazipenda.
  • @
    @dorinekarimi6824منذ 6 سنوات Consuming fire awaits you Beyonce, repeat repeat!!
  • @
    @ivanskaluta5924منذ 6 سنوات mungu niyureyure atabaki kuwa yureyure ariye umba mbingu nanchi hawo wengine nimaibirisituu
  • @
    @christinajeremiah6412منذ 6 سنوات eeh mungu huturehemu maan tunapoelekea siko kabx
  • @
    @jumaadena5657منذ 6 سنوات Pharaoh wa pili uyu.tujiangalie tuendeko.iyo freedom tuitakayo itatucost.stiri IMAN yko
  • @
    @m.mmarckus6298منذ 6 سنوات manabii wa uwongo wanazidi kuongezeka,Mungu simama mwenyewe kutetea taifa letu
  • @
    @johnsonfrodianus6237منذ 6 سنوات Watamkuta mungu mbiguni dawa yao anayo 1
  • @
    @khamicwayne4740منذ 5 سنوات Laaaana tupu ..kufuru tele!!! Mtu kuzaliwa kma ww!!!leo hiii una muabudu!!! Dunia ime isha!! Mungu atusaidie jamani!!!
  • @
    @aminabhaya1518منذ 3 سنوات Duh mwisho wa dunia umefika ila hawa wazungu wanatuletea majanga jmn eeee mung waadhibu
  • @
    @rjjfhglena2137منذ 6 سنوات Hapa ndo yesu ali sema. Then jesus said, Father, forgive them, for they do not know what they do, " 1
  • @
    @neynath6036منذ 6 سنوات Yaliyotabiriwa kwenye vitabu vya dini yaanza kutimia Mungu turehemu
  • @
    @johnbernad1529منذ 5 سنوات Hilo ni pepo shetani yupo kazini lakini Mungu atabaki kuwa mungu
  • @
    @irenemkwizu9673منذ 6 سنوات Msimfananishe Papa na Beyonce NONSENCE. 11
  • @
    @livichakimbo5363منذ 6 سنوات Huyu dada anajua sana anachokifanya hataki kwenda peke yake motoni
  • @
    @carolinamushi5555منذ 6 سنوات Ila beyece hilo sio kanisa ni sehemu takatifu wanapokusanyiwa wana wa Mungu na kumuabudu na kumsifu Mungu. Kama hapo panaotwa kanisa la beyece sio kanisa aseme tu ni sehemu yake ya starehe na kufanyia madhambi 1
  • @
    @thobiasshingisha9033منذ 6 سنوات Mwisho wa Dubai unakalibia Mungu upo Maori yote anayona
  • @
    @salimaseleman3521منذ 5 سنوات Tunaangamia kwa kukosa maalifa utamuabudu vp bnadam mwenzk