المدة الزمنية 20:5

EXCLUSIVE: Mambo muhimu yakufahamu MAMA MJAMZITO ili kuwa salama na kiumbe chako tumboni

بواسطة Dar24 Media
259 389 مشاهدة
0
922
تم نشره في 2018/10/22

MAMBO MUHIMU yakuzingatia kuhusu: 1. Tendo la Ndoa kipindi cha UJAUZITO, 2. Mavazi: Nguo za kuvaa, Maumivu ya mgongo kwa MAMA MJAMZITO, Athari zake na jinsi ya kujilinda, 3. Mazoezi yakufanya wakati wa UJAUZITO. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Media

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 124
  • @
    @fileteomdage768منذ 4 سنوات Nice explanation therapist God bless you 5
  • @
    @halimaothmann2352منذ 4 سنوات Asante dokta nimejifunza na maelezo yako‍♀️mazuri 3
  • @
    @angelsylvester4795منذ 3 سنوات Ahsante sana dr wewe uko wapi maana umetoa somo zuri sana Mungu akubariki 2
  • @
    @cantcan1644منذ 4 سنوات habar docta,nipo kilimanjaro mgongo unanisumbua 4
  • @
    @biscuits001قبل 3 أشهر Mi nlikuwa naumwa na tumbo miezi miwili mitatu nlishika shika nkawanaifanya kama naizungusha ..kumbe nlimzungusha mtoto akaangalia chini na miezi mitatu sijui kama n hatari akiwa hvo miezi yote
  • @
    @andrewmakwi5106منذ 5 سنوات Dada asante me naumwa ivo miez 8 ya mimba nilienda napewa dawa za utihai t Hosp he nifanje naumia adi mguuni 4
  • @
    @marwalzzy5983منذ 4 سنوات Hata mm Nina maumivu ya mgongo na ganzi 3
  • @
    @fatmahaji7776منذ 2 سنوات Mm mjamzito Kisha mtt anatulia juu ya kitovu tatiz nini nakupata choo cheusi
  • @
    @shamambonahuwekimuendelezo6659منذ 2 سنوات Umejitahidi dada lkn ulikua na ka Presha ☺️
  • @
    @jolieelysee6925منذ 3 سنوات Mama mjamzito kulala chali nivibaya.ujauzito wa mwezi inamazala??pls nijibu docta 5
  • @
    @irenemnywele8360منذ 5 سنوات docktar mm naumwa Sana na tumbo tatizo nn pia mimba yangu ya Kwanzaa hii 16
  • @
    @yunisgrayson2837منذ 2 سنوات Mimi nakatazwa hata kutembea naambia nitakutana na vitu vibaya nipo kwa mama mkwe nimechoka ujauzito wangu unanituma kutembea Sina usingizi mchana usiku id="hidden2" class="buttons"> kwenyewe naanza kupata usingizi kuanzia saa sita au saa Saba ivo natamani ningempata mtu Kama wewe angemwelimisha kuwa natakiwa mazoezi ahsante kwa mafunzo yako ....وسعت 1
  • @
    @haithamshein7726منذ 4 سنوات mimo ni mja mzito na uke wng una maji mengi nifanyeje ? 4
  • @
    @amirmotors9735منذ 6 سنوات Dawa gan anatakiwa amezee mama mjamzito wenye miez 4, mwenye ugonjwa wa akir 7
  • @
    @zainatoji1965منذ 3 سنوات Mimi ninamimba mwenzio mmoja lakini naumwa sana na kiumo na mgongo tatizo nini 2
  • @
    @irenepeter9041منذ 2 سنوات Mmh mfupi mbona mm mfup na nimejifungua kawaida
  • @
    @asiamark8841منذ 5 سنوات Hlw doctor naomba kuuliza nna mimba ya miez minne Ila uzito auwongezeki na presha inakua chini sababu ni nn 5
  • @
    @nyokarahim5080منذ 4 سنوات Doct mm nina mimba ya miez miwil lkn sasa nikienda choon natokwa na uchafu nimeenda hospital wananiambia mimba imeharibika lkn dam haitoki inawezekana kweli 5
  • @
    @andrewmakwi5106منذ 5 سنوات Araf kama nimekaaa nikiamka napata maumivu makali 3
  • @
    @fatimambaruku1833منذ 3 سنوات Mm dokta kiuno kinaniuma mpaka nikiinama kuinuka Ni shida pamoja na miguu kweny joint ya kiuno nifanyeje
  • @
    @sarahmuhinjo6746منذ 2 سنوات Dk maumivu ninayo kwenye mgongo kutokana na ujauzito Kwa nn sipati kabisa hamu ya tend la ndoa je Hilo ni tatizo au kawaida tu 1
  • @
    @iqraamansoor4616منذ 4 سنوات nauliza eti kama mtoto yupo upande wa kulia je?mama anatakiwa alale upande upi 6
  • @
    @nandychaz1428منذ 4 سنوات Naomba kurinza mi nimjamnzito iranapata kichomi marakwamara 3
  • @
    @yustakipenyakipenya9117منذ 5 سنوات Ayo mazoez unaanza mimba ikiwa na umri gan
  • @
    @maryseleman8019منذ 5 سنوات Umedanganya kulala chali mwisho miezi sita tofauti na hapo 4
  • @
    @aloycesteven5998منذ 3 سنوات Dada jitahidi kutoa na maandishi kusaidia wasio sikia masomo yako 2
  • @
    @mamrashid7257منذ 5 سنوات Doctor mbona unahema sana uma pressure 6
  • @
    @abellangaiza7940منذ 5 سنوات Naweza kufanya mazoezi nikiwa na mimba ya mwezi mmoja 4
  • @
    @siaharold5685منذ 5 سنوات Mm mjamzito anaruhusuwa kunywa grand malta 1
  • @
    @shinjeclassic3053منذ 3 سنوات Mimi ninachoka sana na sipati hamu ya chakula 2
  • @
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796منذ 5 سنوات MIMI SINA HAMU YA KULA KABISAAA NA MIMBA YANGU YA KWANZA HAIKUWA HIVYO KUNA DAWA YA KUPATA HAMU YA KULA? 9
  • @
    @jenieljoseph8573منذ 3 سنوات Duuh we nae unazunguka Tu mgongo nyoooo alafu hujibu hata comments muone kwanza 3
  • @
    @yaaishbaybe7477منذ 6 سنوات nakataa ati mtu alale anavotaka..aaah hatari kulala chali kuna mishipa yachakula na hewa from mama,to bby anaeza akiulalia mzazi mtoto adhurike 22
  • @
    @macanilusiji3423منذ 5 سنوات Doctor hivi mjamzito anaruhusiwa kula ukwaju??? 5
  • @
    @mauamussa4622منذ 5 سنوات Doctor mama mjamzito haruhusiwi kula kipolo? 7
  • @
    @deborahsembe303منذ 5 سنوات Kuna umuhimu gan Wa kufanya tendo la ndoa wakati Wa ujauzito 8
  • @
    @ngupalirashidi4104منذ 6 سنوات Docta mjanzito analuhusiwa kula nanasi 7
  • @
    @lightnesscharlse2281منذ 5 سنوات mhh sina hata hisia sasa hivi ya kufanya tendo natamani nijizalie tu 2