Mchezaji wa #simbasc Na kaptain msaidizi B.M 3 BERNARD MORRISON wabadilisha a Jezi na mchezaji wa #AZAM FC baada ya KUMALIZIKA kwa game Yao ya kutinga Final ya michuano ya #AZAM #FEDERATION #CUP na Matokeo kumalizika bao moja kwa Simba na kuiwezesha Simba kuingia fainali itakayopigwa mjini #kigoma mbele ya watani wao #YANGASC
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 3
مقاطع الفيديو ذات الصلة على ZIMBWE Jr. na AGREY MORIS wakionesha UZALENDO MKUBWA BAADA UA MCHEZO WA NUSU FINAL KUMALIZIKA SONGEA: