المدة الزمنية 8:48

VIJVANA WAASWA KUVAA MAVAZI YENYE STAHA NA KUWA NA HOFU YA MUNGU - KANISA LA MORAVIAN KAHAMA

بواسطة Huheso Digital Tv
53 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/07/03

Hii imeelezwa na waumini toka katika Kanisa la Morovian lililopo Mjini Kahama, Vijana wakimjua Mungu wanakuwa na hofu ya Mungu. Vijana wengi wanaingia kwenye vishawishi kwa kukosa hofu ya Mungu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0