المدة الزمنية 7:41

MSTAAFU KIKWETE HUYU HAPA, AWATUNUKU WANAFUNZI WA UDSM VYETI, JAJI LUBUVA ATOA KAULI

بواسطة Millard Ayo
13 174 مشاهدة
0
53
تم نشره في 2021/05/28

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dr.Jakaya Kikwete ametunuku vyeti katika mahafali ya 51 ya chuo hicho ambapo wanafunzi 564 wamehitimu elimu ya juu kwa Ngazi ya Digrii za Uzamivu, Umahiri, Stashahada za Uzamili, Digrii za Awali, Stashahada na Astashahada.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 41