#RememberingChristianLongomba
Baada ya KIFO cha msanii CHRISTIAN LONGOMBA wa kundi la LONGOMBAS, wasanii kadhaa wamejitokeza kusimulia walivyoguswa na CHRISTIAN kipindi cha uhai wake. Sikiliza kumbukumbu zao za kugusa zitakazokufanya ujue usiyoyajua kumhusu Marehemu CHRISTIAN LONGOMBA. WATCH YOUR FAVORITE SHOW IN EAST AND CENTRAL AFRICA , #MSETO_EAST_AFRICA NA #MZAZI_WILLY_M_TUVA