المدة الزمنية 26:14

Imani yangu Amani yangu/ Tunampokea Yesu lakini hatuna amani Na Padre Almachius Katunzi

بواسطة Faustin Kamugisha
1 106 مشاهدة
0
10
تم نشره في 2021/11/20

Ni mafundisho ya kila juma kutoka Katika Kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba, mafundisho haya hutolewa na Mapadre mbali mbali wa Jimbo la Bukoba, Juma hili Padre Alamchius Katunzi Paroko wa Parokia teule ya Mafumbo ,ametufundisha mada juu ya IMANI YANGU, AMANI YANGU. Karibu kufuatilia. #ShajaraFaraja

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2