المدة الزمنية 16:15

MAALIM SEIF ATOBOA SIRI WABUNGE CUF KUTUMIA POSHO ZAO KUICHANGIA ACT-WAZALENDO

بواسطة MwanaHALISI TV
33 126 مشاهدة
0
186
تم نشره في 2020/06/20

Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametoboa siri ya kuwa wabunge 21 wa chama cha CUF waliojiunga na chama hicho mara baada ya Bunge la Tanzania kufungwa rasmi walikuwa wakichangia chama cha ACT-Wazalendo kwa fedha ambazo walikuwa wakizipata kama ruzuku wakiwa wabunge wa CUF.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 121